Pocket guide to various books
Kitabu hiki cha Fasihi Simulizi kinahusisha matini ambayo yamevikusanya vipera vyote vya fasihi simulizi na kuviwasilisha kwa lugha nyepesi na sahili. Pia kimeshughulikia aina za mashairi na vigezo mbalimbali vya kuyaainisha mashairi. Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wanafunzi kujisomea na kufanya utafiti wa ziada wakiwa na msingi bora katika sehemu hizi. Kitabu hiki kitamfaa sana mwanafunzi yeyote aliye na ari ya kujisomea na hata kupiga hatua mbele ya mwalimu. Kimewasilisha maswali ya KCSE kuanzia mwaka wa 2006 hadi sasa. Mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa KCSE atapata mwelekeo bora kupitia kitabu hiki ili kumwezesha kufaulu vyema katika Kiswahili. Ningependa kuwahimiza wanafunzi kukipitia kitabu hiki kabla ya kukumbana na mtihani wao. Kwa kufanya hivyo watakuwa na chukua nafasi hii kuwapendekezea walimu wakuu wa shule mbalimbali nchini, walimu wa Kiswahili na wanafunzi wapendao matokeo bora kujinyakulia nakala ya kitabu hiki ili kiwanufaishe. Ahsanteni.
A Brief Overview of the Whole KCSE English Paper. • Paper 1 Functional Skills • Paper 2 Comprehension Skills and Grammar • Paper 3 imaginative composition and essay writing skills Paper 1: Sections 1, 2 and 3 – (Answer all questions) Functional and conversation skills (60 marks) 1. Functional writing composition – 20 marks 2. Cloze test – 10 marks 3. Oral skills – 30 marks Paper 2: Sections 1, 2, 3 and 4 – (Answer all questions) Comprehensions and Grammar (80 marks) 1. Comprehension passage (unseen text) – 20 marks 2. Comprehension excerpt (compulsory set text) – 25 marks 3. Comprehension oral poetry/song/narrative – 20 marks 4. Grammar – 15 marks Paper 3: Sections 1, 2 and 3 – (Answer three questions) Essay writing (60 marks) 1. Imaginative composition – 20 marks 2. Compulsory set text essay – 20 marks 3. Optional set text essay – 20 marks There are six specific questions in Paper 3. You will answer only three as instructed. • Questions 1, a or b, is compulsory. Choose One question: either a or b. • Question 2 is an essay based on compulsory set book: novel or play. • In question 3 choose only one from the optional set texts you have studied. • There are three questions based on optional set book: short stories anthology, novel and play.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa uzingativu mkubwa unaolenga kuyakidhi mahitaji ya wanafunzi wote wa shule za upili na hata walimu. Kimezingatia silabasi ya Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne katika Matumizi ya Lugha Kitabu hiki kinahusisha matini ambayo yamezikusanya mada zote na kuziwasilisha kwa lugha nyepesi na sahili. Kinaweza kueleweka kwa urahisi na wanafunzi. Kimewasilisha vipengele vyote kwa namna itakayorahisishia wanafunzi na vilevile walimu ujifunzaji na ufundishaji. Vipengele hivi vimewasilishwa pamoja na mifano na hata mazoezi ya maswali ya KCSE kutolewa kila baada ya mada na majibu yake kutolewa kulingana na miongozo yake ya KCSE. Mada za silabasi zimepanguliwa na kupangwa upya ili kuwasilishwa kwa mfululizo kuanzia mada za kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Kitabu hiki hivyo basi kitamfaa sana mwanafunzi yeyote aliye na ari ya kujisomea na hata kupiga hatua mbele ya mwalimu. Kimewasilisha maswali ya KCSE kuanzia mwaka wa 2006 hadi sasa. Maswali hayo ya KCSE vilevile yamepanguliwa na kupangwa upya kulingana na mada na majibu yake kutolewa nyuma ya kitabu hiki. Mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa KCSE atapata mwelekeo bora kupitia kitabu hiki ili kumuwezesha kufaulu vyema katika Kiswahili. Ningependa kuchukua nafasi hii kuwapendekezea walimu wakuu wa shule mbalimbali nchini, walimu wa Kiswahili na wanafunzi wapendao matokeo bora kujinyakulia nakala ya kitabu hiki ili kiwanufaishe. Ahsanteni. 1. Zaidi ya wote, ni kumshukuru Mola, Rabuka kwa Neema zake za Uhai na Maarifa.
Welcome to “K.C.S.E Poetry Notes,” a comprehensive revision book designed to help high school students excel in their poetry studies and achieve success in the Kenyan Certificate of Secondary Education (K.C.S.E) exams. Poetry is an essential component of the K.C.S.E English curriculum, and it can be challenging for students to navigate its complexities. This book provides a valuable resource for students who want to improve their understanding and analysis of poetry, develop their writing skills, and perform well in the K.C.S.E exams. In “ K.C.S.E Poetry Notes,” students will find a range of strategies and techniques that will help them unlock the meaning of poems, appreciate the poet’s use of language, and develop their own creative writing skills. This book includes in-depth analysis of a variety of poems from the K.C.S.E syllabus, as well as exercises and writing prompts that will help students to develop their critical thinking and writing skills. The book is organized into three main sections: Analysis, Writing and Revision. In the Analysis section, students will learn how to identify and interpret key poetic devices, such as imagery, tone, and figurative language. In the Writing section, students will learn how to write effective and engaging poetry, with guidance on structure, style, and vocabulary. In the Revision section, students will learn how to review and improve their work, with tips on editing, proofreading, and feedback. This book is not intended to be a substitute for the guidance of a qualified teacher, but rather a supplement to classroom instruction. It is our hope that this book will inspire students to explore the world of poetry with confidence and enthusiasm, and ultimately achieve success in their K.C.S.E exams.
Imaginative composition writing is a form of creative writing that allows you to express your creativity, imagination, and originality. In high school examinations, imaginative composition writing tasks may include creative writing, descriptive writing, or personal narratives. However, many students find it challenging to come up with imaginative ideas and transform them into engaging and compelling prose. This book is designed to help you develop the skills and techniques needed to write imaginative compositions that will captivate your readers and earn you high marks in your class examinations and ultimately in your K.C.S.E paper 3 English examination. We shall explore the different elements that make up a great imaginative composition, including character development, plot, setting, and imagery. You’ll learn how to create engaging characters, build a strong plot, and use vivid descriptions to bring your story to life. Throughout the book, you’ll find practical tips, exercises, and examples that will help you hone your imaginative composition writing skills. These examples will not only help you understand the major concepts of imaginative composition writing but also provide you with the inspiration and confidence to create unique and engaging stories. By mastering the art of imaginative composition writing, you will be able to succeed in your high school examinations and impress your examiners with your creativity and originality. Moreover, the benefits of imaginative composition writing go beyond exams; these skills will serve you well in life, allowing you to express your ideas with clarity and impact. So, let us embark on a journey of creativity and imagination and master the art of writing compelling and engaging imaginative compositions for high school examinations.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa uzingativu mkubwa unaolenga kuyakidhi mahitaji ya wanafunzi wote wa shule za upili na hata walimu. Kimezingatia silabasi ya Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne katika Isimujamii Kitabu hiki kinahusisha matini ambayo yamezikusanya mada zote na kuziwasilisha kwa lugha nyepesi na sahili. Kinaweza kueleweka kwa urahisi na wanafunzi. Kimewasilisha vipengele vyote kwa namna itakayorahisishia wanafunzi na vilevile walimu ujifunzaji na ufundishaji. Vipengele hivi vimewasilishwa pamoja na mifano na hata mazoezi ya maswali ya KCSE kutolewa kila baada ya mada na majibu yake kutolewa kulingana na miongozo yake ya KCSE. Mada za silabasi zimepanguliwa na kupangwa upya ili kuwasilishwa kwa mfululizo kuanzia mada za kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Kitabu hiki hivyo basi kitamfaa sana mwanafunzi yeyote aliye na ari ya kujisomea na hata kupiga hatua mbele ya mwalimu. Kimewasilisha maswali ya KCSE kuanzia mwaka wa 2006 hadi sasa. Maswali hayo ya KCSE vilevile yamepanguliwa na kupangwa upya kulingana na mada na majibu yake kutolewa nyuma ya kitabu hiki. Mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa KCSE atapata mwelekeo bora kupitia kitabu hiki ili kumuwezesha kufaulu vyema katika Kiswahili.
Kitabu hiki cha Ushairi kinahusisha matini ambayo yamevikusanya vipera vyote vya fasihi simulizi na kuviwasilisha kwa lugha nyepesi na sahili. Pia kimeshughulikia aina za mashairi na vigezo mbalimbali vya kuyaainisha mashairi. Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wanafunzi kujisomea na kufanya utafiti wa ziada wakiwa na msingi bora katika sehemu hizi. Kitabu hiki kitamfaa sana mwanafunzi yeyote aliye na ari ya kujisomea na hata kupiga hatua mbele ya mwalimu. Kimewasilisha maswali ya KCSE kuanzia mwaka wa 2006 hadi sasa. Mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa KCSE atapata mwelekeo bora kupitia kitabu hiki ili kumwezesha kufaulu vyema katika Kiswahili. Ningependa kuwahimiza wanafunzi kukipitia kitabu hiki kabla ya kukumbana na mtihani wao. Kwa kufanya hivyo watakuwa na chukua nafasi hii kuwapendekezea walimu wakuu wa shule mbalimbali nchini, walimu wa Kiswahili na wanafunzi wapendao matokeo bora kujinyakulia nakala ya kitabu hiki ili kiwanufaishe. Ahsanteni.
Get updates on new book releases, educational resources, and special offers.
We respect your privacy and will never share your email with anyone else.